NAIBU WAZIRI MANYANYA AWATAKA WAZAZI KUFUATILIA MAENDELEO YA WATOTO WAO SHULENI

0
198

NAIBU
WAZIRI MANYANYA :AWATA WAZAZI KUFUATILIA MAENDELEO YA WATOTO WAO
SHULENI.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya wa pili kutoka kulia akitembelea
shule ya Msingi Bagamoyo wakati wa ziara yake wilayani Korogwe kushoto
ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi Robert Gabriel na anayefuatia ni
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya akiwasili katika shule ya Msingi
Matondoo wakati ewa ziara yake ya kukagua maendeleo ya sekta hiyo
wilayani Korogwe

Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya
akisalimiana na walimu wa shule ya msingi Matondoo wa kwanza kulia ni
Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi Robert Gabriel

Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya wa
pili kutoka klushoto akimsikiliza Afisa Tarafa ya Korogwe mjini,Michael
John kuhusu ujenzi wa baadhi ya madarasa kwenye shule hiyo kulia ni Mkuu
wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi Robert Gabriel wa pili kutoka kushoto ni
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji,Jumanne Shauri anayefuatia ni
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda

Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya wa
pili kutoka kushoto akimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi
Robert Gabriel wakati wa ziara yake wa pili kulia ni Mbunge wa Jimbo la
Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya akiwa ameshika mtoto wakati wa
ziara yake kulia ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi Robert Gabriel
kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe,Jumanne
Shauri

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na wanafunzi wa shule
ya msingi Bagamoyo iliyopo wilayani Korogwe ambapo aliwataka kusoma kwa
bidii ili waweze kupata mafanikio

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji
wa Korogwe,Jumanne Shauri akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi
Matondoo wakati wa ziara hiyo ambapo aliwataka kutilia mkazo masomo ya
sayansi

Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Mjini (CCM) Marry Chatanda akisalimia na wananchi wa Jimbo lake wakati
wa ziara hiyo ya

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi
Stella Manyanya

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji
wa Korogwe ,Jumanne Shauri akizungumza katika ziara ya Naibu Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi Stella Manyanyawa tatu kutoka
kulia

Mkuu wa wilaya ya
Korogwe,Mhandisi Robert Gabriel akizungumza katika halfa hiyo

Mbunge wa
Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa
Maji Marefu akimuonyesha kitu
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini
(CCM) Marry Chatanda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkakati
waliojiwekea kuhakikisha wanapiga hatu kubwa kielimu

Baadhi ya wanafunzi
wakimsikiliza
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi
Stella Manyanya ambaye hayupo pichani

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya katika akisisitiza jambo kwa Mkuu
wa wilaya ya Korogwe, Mhandisi Robert Gabriel kushoto wakati wa ziara
yake alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa maktaba ya wilaya hiyo
ambao umeshindwa kuendea kwa muda mrefu ambapo aliagiza uendelezwe
kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji Jumanne Shauri na
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda,Habari kwa
Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia,
Mhandisi Stella Manyanya akiwa kwenye picha ya pamoja na walimu wa
shule ya msingi matondoo
       

NO COMMENTS