Mwanafunzi wa miaka 20 ashinda ubunge Scotland!

0
338

Kwa mara ya kwanza, msichana mwenye miaka 20, Mhairi Black, ameweka historia huko Scotland kwa kuchaguliwa kua mbunge katika nchi hiyo. Msichana huyu mwenye uwezo mkubwa wa ushawishi katika kujieleza, ameweza kushinda magwiji wengine waliokua na uwezo mkubwa wa kifedha.

Magwiji hao matajiri wamestushwa sana na ushindi huo ambao unaelekea kutetemesha siasa za nchi hiyo na kufanya wengine kuwajibika zaidi katika nafasi zao.

mhairi black2SNP candidate Mhairi Black canvassing in Paisley.

NO COMMENTS