MWALIKO

0
302

Uongozi wa Kanisa la Cathedral of Praise unapenda kukukaribisha kwenye mkutano wa Injili (Spring revival) utakaofanyika kuanzia Jumamosi tarehe 23 na Jumapili tarehe 24 mwaka huu ,katika ukumbi wa hoteli ya Hampton Inn iliyoko address 9670 Baltmore Avenue, College Park , Md ,20740.
Watumishi wa Mungu na waimbaji wa nyimbo za Injili watakuwepo kukuhudumia, karibu na upokee muujiza wako.
Contact information:
202 271 1860
240 565 7133
301 256 6018
Taarifa zaidi zitafuata.
Karibuni sana!!!!

NO COMMENTS