Muumin Mwinjuma na Double O waanza maonyesho Msumbiji.

0
682
KUNDI  la Double M chini ya Muumin Mwinjuma, limealikwa Msumbiji kwa mwezi mzima, na katika wakati huo kundi litashiriki katika sherehe za miaka 51 ya Vita vya Ukombozi wa nchi hiyo. Wanamuziki hawa ambao ni wanachama wa Mtandao wa Wanamuziki walipitisha barua yao ya taarifa ya kwenda huko na hivyo Mtandao ukatoa taarifa Baraza la sanaa La Taifa kama inavyostahili. Waliomo katika msafara huo ni pamoja na kiongozi wa kundi Muumin Mwinyjuma,  maarufu kwa jina la KOCHA, na wanamuziki wengine 16.

1.    
Mwinjuma Muumin Buguza- Kiongozi wa
Bendi-Muimbaji

2.    
Omary Kisila- Kinanda

3.    
Hamza S Waninga- Drums

4.    
Imma Keffa –Bass Guitar

5.    
Emmanuel Namwinga- Rhythm guitar

6.    
Amina R Juma –Muimbaji

7.    
Veronica D Buzeri –Dansa

8.    
Neema Kawambwa-Dansa

9.    
Stamili 
Hamis –Dansa

10. Greyson
Semsekwa – Rapper

11. Sharey
Aboubakar-Muimbaji

12. Revina
Mzinja -Dansa

13.  Salma Shaaban –Dansa

14. Afande
Muhamada-Fundi Mitambo

15. Omary
Maulid –Fundi Mitambo
16. Saleh Kupaza-Muimbaji
17. Dogo Rama-Muimbaji

Habari toka TAMUNET- Mtandano wa Wanamuziki Tanzania

NO COMMENTS