MSIBA TANZANIA NA DMV

0
258

Familia ya Felician Ferdinand Minde,inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Felix Felician ambaye ni baba mzazi wa Felister Felix Felician (KoKuleba),Kilichotokea jana March 16 huko nyumbani kwake Mwanza. Mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya jumatatu kijijini kwao huko Bukoba.

Msiba upo nyumbani kwa binti yake Virginia.
Address
6719 Tower Dr. Apt#106, Alexandria, VA 22306.
Mawasiliano:
Felina: 5072719876
Felista (Koku); 5072717976

Account no: Bank of America 446023653153.

NO COMMENTS