Msiba DMV na Tanzania wa marehemu mama Gren Judica Moshi.

0
470

Msiba1

Familia ya Herman Moshi inapenda kuwataarifu ndugu, jamaa na marafiki waishio DMV na vitongoji vyake kwamba misa ya kumuombea mpendwa mama yao Bibi Gren Judica Moshi itafanyika siku ya Jumapili November 1st 2015 kuanzia saa tisa na nusu mpaka saa kumi na moja (3:30 – 5:00pm) katika kanisa la Faith Moravian Church lililopo 405 Riggs Rd NE, Washington DC 20011.

Mama yetu mpendwa Gren alifariki dunia ghafla Tanzania, siku ya Jumamosi October 24th 2015.

Baada ya misa kutakuwa na chakula cha pamoja.
Tafadhali tunaombwa kuzingatia muda wa ibada ya misa. Kama ilivyo mila na destruri zetu, unaweza kutoa rambi rambi zako kwa watoto wa marehemu James Herman Moshi na Donald Herman Moshi kwa kupitia:

Bank of America
Acct #: 0039 2874 2735
Routing #: 052001633

Mpe taarifa mwenzako, wote mnakaribishwa!

Kwa taarifa zaidi wasiliana na:
Julius Manase (240) 393-8445
Richard Mollel (202) 549-7301
Rahma Baraka (443) 621-8316
Andrew Mushi (301) 674-9119

“Yeye ashindaye, Nitampa kuketi pamoja nami katika kiti changu cha enzi…” Ufunuo 3:21
Amen!

NO COMMENTS