MSIBA DMV NA TANZANIA.

0
321

Rama Kamguna wa Beltsville, Maryland nchini Marekani anasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama yake mzazi kilichotokea Moani Morogoro, Tanzania leo May 14, 2015. Mipango ya mazishi inafanywa na marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatatu May 18, 2015.

Kupeana pole na kufarijiana ndio ustaarabu wetu upatapo nafasi usisite kujumuika na mfiwa nyumbani kwake Beltsville, Maryland anuani ni

3588 Poweder Mill Road Apt # 301,

Beltsville, MD 20705.

Kwa maelekezo na maelezo zaidi unaweza kupiga simu

Rama Kamguna 202 459 3839

Ali 202 378 0095

NO COMMENTS