MLIPUKO MANCHESTER UK WATU 19 WAFARIKI DUNIA

0
417

Mlipuko umeripotiwa katika uwanja wa Manchester Uingereza usiku wa Jumatatu na watu 19 wamefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa katika concert ya Ariana Grande polisi wa Manchester wamethibitisha tukio hilo.

NO COMMENTS