MKE WA RAIS NIGERIA AMUUMBUA MUME WAKE HADHARANI

0
586

unknownMke wa rais wa Nigeria ameuliza wazi wazimbele ya umma, ikiwa mume wake Rais Muhamadu Buhari ana uwezo wa kuongoza nchi na kusema huenda asimfanyie kampeni kama akigombea muhula wa pili.
Katika mahojiano na BBC mama Aisha Buhari amesema mume wake hakujua wateule wengi wa juu wa serikali na kuwalaumu kwa kutofahamu maono ya chama chake cha All Progressive Party, laking hakutaja majina.
Buhari alikuwa dikteta wa kijeshi kwa muda mfupi katika miaka ya 80.Alichaguliwa alipogombea kwa mara vya nne 2015 akiwa katika muungabno ambao unaojumuisha wapinzani wake wa amani na wale waliokuwa wakitafuta nafasi walioachana na chama tawala cha zamani cha rais aliyeshindwa Goodluck Jonathan.
VOASWAHILI.COM

NO COMMENTS