MISS TANGA KUFANYIKA KESHO IJUMAA KWENYE UKUMBI WA HOTEL YA TANGA BEACH RESORT

0
1260

WAREMBO
WANAOWANIA SHINDANO YA MISS TANGA 2016 USIPIME SASA KUFANYIKA IJUMAA
MJINI TANGA

 

Warembo wanaowania Taji la Mrembo wa
Mkoa wa Tanga (Miss Tanga 2016) wakiwa kwenye pozi katika hotel ya Tanga
Beach Resort kutakapofanyika shindano hilo Ijumaa Kesho.

 

Warembo hao wakiwa kwenye picha ya pozi

 

 

 

Warembo
wanaowania Taji la Urembo Mkoa wa Tanga(Miss Tanga 2016) ambalo
linaandaliwa na Kituo cha Radio cha TK FM cha Mjini Tanga kwa
kushirikiana na Hotel ya Tanga Beach Resort wakiwa kwenye picha ya
mapozi

 

 

Mratibu
wa Shindano ya Miss Tanga 2016,Mboni Muya akizungumza na waandishi wa
Habari leo kuhusiana na maandalizi ya kuelekea shindano hilo

 

 

Baadhi
ya Warembo wakimsikiliza Mdau wa Tasnia ya Urembo hapa nchini
Sinza,Beny Kisaka alipokuwa akizungumza nao mara baada ya kuitembelea
kambi ya warembo hao wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Five
Brothers Nassoro Makau

 

Warembo hao wakimsikiliza Mratibu wa
Shindano ya Miss Sinza 2016 ambaye aliitembelea kambi hiyo
leo

 

Mdau wa Tasnia ya Urembo hapa
nchini,Benny Kisaka akitoa nasaha kwa warembo wanaotarajiwa kushiriki
kinyang’anyiro cha kumtafuta Mlimbwende wa Mkoa wa Tanga (Miss Tanga
2016 )itakayofanyika Ijumaa kesho  kwenye Ukumbi wa Hotel ya Tanga Beach
Resort.

Mdau wa Tasnia ya Urembo hapa
nchini,Benny Kisaka akisisitiza jambo wakati akizungumza na warembo
wanaotarajiwa kushiriki shindano la kumtafuta Mlimbwende wa Mkoa wa
Tanga Ijumaa

Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

NO COMMENTS