Misa ya mkesha wa Krismas Md

0
314


KANISA LA CATHEDRAL OF PRAISE LA WASHINGTON DC LINAPENDA KUWAKARIBISHA KATIKA MKESHA WA CHRISTMAS, KWAYA MAARUFU YA COP WORSHIP BAND ITAONGOZA IKISHIRIKIANA NA WAIMBAJI MBALI MBALI NJOO TUIMBE NA KUSIFU PAMOJA KWA KISWAHILI
IBADA ITAANZA SAA 4 USIKU (10:00PM) HADI SAA 6 USIKU ( 12:00AM).

REFRESHMENTS WILL BE SERVED

ADDRESS:
10110 GREENBELT ROAD
LANHAM,MD 20706

KWA MAELEZO PIGA SIMU
TINO 240 338 4917
GRACE SEBO 202 271 1860
GEORGE SEBO 301 256 6018
JERIDA BADI 202 557 0562
FAITH KATANGA 240 350 4316

NO COMMENTS