Misa ya marehemu Mama Gren Judica Moshi mjini Washington Dc.

0
536

Ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali, jana (Novemba mosi 2015) walijumuika na wanafamilia katika misa na kusherehekea maisha ya Mama Gren Judica Moshi iliyofanyika hapa Washington DC
Watoto wawili wa Marehemu Donald na James Moshi, na ndugu wengine, waliungana kwa misa hiyo iliyofanyika alasiri na kufuatiwa na chakula cha pamoja

Mchungaji kiongozi wa Kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries Ferdnand Shideko, akiwakaribisha watu waliohudhuria misa hiyo

Mch John Kadyolo akifungua misa kwa maombi

 Wanafamilia

 Richard Mollel akisoma somo la kwanza

Janice Manse akisoma somo la pili

 Joseph Maro akisoma historia ya marehemu Gren Judica Moshi

 Julius Manase, akiongoza utaratibu wa ibada

Mchungaji Ferdnand Shideko akihubiri

 Wachungaji wakiombea familia

 Watoto wa Marehemu, Donald na James Moshi wakifuatilia Ibada
Wachungaji wakiongoza maombi kwa wanafamilia

 Andrew Mushi akitoa shukrani kwa niaba ya familia

NO COMMENTS