MISA YA KUMBU KUMBU DMV

0
372

Familia ya Stephen na Esther Msungu wanapenda kuwakaribisha kwenye misa ya kumbukumbu ya wapendwa wao, Baba yake Stephen Mzee Peter Damas Msunfu aliyefariki Tanzania February 20,2015, na kaka yake Esther Gerald Arthur Natumwa aliyefariki Tanzania March 15,2015.
Misa itafanyika April 11,2015 kuanzia saa 10jioni (4pm) katika kanisa la St. Edward Roman Catholic Church.
Anuani ya kanisa ni:
901 Poplar Grove street
Baltimore Md 21216.
Kwa maelezo zaidi, unaweza wasiliana na:
Stephen Msungu – 240 476 9056.
Esther Natumwa- 240 988
1749.
Vitalis Gunda – 240 383 6950.
Kie Mlay – 240 354 8093.

NO COMMENTS