MISA YA KUMBU KUMBU DMV.

0
357

Familia ya Stephen na Esther Msungu wanapenda kuwakaribisha kwenye misa ya kumbukumbu ya wapendwa wao baba yake Stephen Mzee Peter Dremus Msungu aliyefariki Tanzania February 20,2015, na kaka yake Esther, Gerald Arthur Natumwa aliyefariki Tanzania March 15,2015.
Misa itafanyika Jumamosi, April 11,2015 kuanzia saa 10 jioni (4) katika kanisa la St. Edward Roman Catholic Church.
Anuani ya kanisa ni
901 Poplar Grove St
Baltimore Md 21216
Kwa maelezo zaidi, unaweza wasiliana na
Stephen Msungu 240 476 9056.
Esther Natumwa 240 988 1749.
Vitalis Gunda 240 383 6950.
Kie Mlay 240 354 8093.

NO COMMENTS