MAYWEATHER AMUUMBUA VIKALI MCGREGOR

0
166


Bondia Floyd Mayweather Jr amethibitisha yeye ni moto wa kuotea mbali baada ya kufikisha rekodi ya mapambano 50 bila kushindwa.

Hii ni baada ya yeye kuahidi atapigana kwa staili ya aina yake ambayo hakuwahi kufanya katika siku za karibuni na kweli wachambuzi wanakubali kwamba Mayweather alikuwa mshambuliaji tangu mwanzo na si tulivyomzoea kukimbi ulingo mzima na kuacha wapinzani wakimfuata.

NO COMMENTS