Massanja ajitosa kwenye siasa ataka kumrithi Filikunjombe.

1
914

BREAKINGNEWS3Masanja+PHOTOMsanii maarufu wa vichekesho nchini Tanzaia Emanuel Mgaya a.k.a Massanja Mkandamizaji amejitosa kuwania ubunge wa jimbo la Ludewa , kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi Massanja amejitokeza na wagombea wengine 9 kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketu ya CCM.

Mgombea mwingine ni mdogo wa marehemu Filipo Filikunjombe.Marehemu Deo alifariki Oktoba 15 ikiwa ni siku 15 tu kabla ya uchaguzi mkuu Tanzania.

1 COMMENT

Comments are closed.