MAREKANI UINGEREZA HOI , RUSSIA NA QATAR KUANDAA KOMBE LA DUNIA

0
401

Shirikisho la soka duniani Fifa limetangaza Russia kuwa mwenyeji wa kombe la Dunia 2018. Kwa mujibu wa Aljazeera Russia iliwashinda Uingereza.

Na wakati huo huo kwa mara ya kwanza wametangaza mashariki ya kati kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2022 huko Doha Qatar ambao wamewashinda Marekani waliokuwa na ndoto ya kurudisha tena hapa mashindano hayo.

NO COMMENTS