Mapambano ya kidini yalipuka huko Nigeria.

0
435


Katika sikukuu ya Krismas wakati wengine wakisheherekea huko Nigeria makanisa matatu yateketezwa kwa moto kwa mujibu wa Sauti ya Amerika (VOA) katika mji wa Jos makundi ya waislam wenye itikadi kali pia yalilipua bomu moja lililouwa padri mmoja na watu wengine watano.

Rais wa nchi hiyo ameahidi kufanya kila awezalo kuwatafuta waliohusika na vitendo hivyo ikiwa ni kwa maneno ya mkuu wa Polisi ni ugaidi.

Wakati huo huo Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Benedict aliongoza misa huko Roma huku kukiwa na ulinzi mkali baada ya mabomu ya vifurushi kulipuka huko Italia. Papa aliombea amani duniani wakati wa sherehe hizi za krismas na mwaka mpya.

SHARE
Previous articleKheri ya Krismas 2010
Next article

NO COMMENTS