Habari na Burudani







Address: 6411 LBJ FREEWAY DALLAS TEXAS,75240
Maelezo zaidi:Pastor Absalom Nasuwa 214 554 7381, Matthew Mille 469 279 1762, Nicholus Chove 682 552 6402.



Kanali Maganga akitoa mikakti ya mwaka mpya kwa mama Maganga.

Wajasiria mali wa Dc Khalfani na Julius

Mambo yalipamba moto.

Mama wa mitindo Dc akiwa na kalenda za mwaka 2011.



Dada Belinda akiwasilisha Afro na mjasiriamali.

Naye Dj Luke Jo akiwa na mjasiriamali.

Fanuel Ligate kulia akiwa na sh. Yussuf Meca.


Wakuu wa wilaya kushoto mjasiria mali Khalfani na Mzee wa kazi Tajh.

Kocha kushoto akibadilishana mawazo na Mzee Kinyemi.


Msanii maarufu AJ kushoto na kina dada wa Dc.

Bi. Pamela ndani ya nyumba.

Bi Lateefa a.k.a Juicy Teefa.

Bi. Aireen

Mama Jp mjasiriamali na mwandaaji wa shughuli ya mwaka mpya.





kushoto Promota maarufu Dick wa DMK, Next Level na Dj K.

Kushoto mwakilishi wa Ohio, Yussuf Mecca, Qulaten na mzee wa Swahili Villa.

4 Responses to “Habari na Burudani”

  1. Duh!!
    Mnanifanya nihisi sikumaliza mwaka
    Yarabi lakwati
    Duh!!!!!!

    Mwakani na mie ndani
    Hahahahahaaaaaaaaaa

    HERI YA MWAKA MPYA KAKA

  2. Emmanuel Dodoma Says:

    Kaka hongera sana.kaka mi nataka kuja huko kufanya maisha.Naomba unisaidie.MI EMMANUEL DODOMA WA KILIMANJARO.

  3. Kaka unatisha.Nyamilama high school.Nyani kila siku tunaishi kama ndege maticha waishi kutudisi.High read low kufauluhu.kaka mimi ni kipaji.MTATI WA ROCK CITY

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.

Join 1,706 other followers