MAMA TUNU PINDA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

0
421

1

Spika wa Bunge Anne Makinda akimpa pole mke wa Waziri Mkuu,  Mama Tunu Pinda  (kulia) ambaye alifiwa na baba yake Mzazi, Mzee Abdallah Rehani , Nyumbani kwa marehemu,Tabata  jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015 . Wengine pichani ni ndugu wa karibu wa Mama Pinda.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

2

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, DR. Wilbroad Slaa katika mazishi ya babamkwe wake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015..  Kushoto ni Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sjharif Hamad.

3

Waombolezaji wakisoma dua ya kumwombea marehemu Abdallah Rehani, Baba Mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, nyumbani kwa Marehemu, Tabata jijini Dar es sAlaam Aprili 4, 2015.

4

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Seif Sharif Hamad (katikati) na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi katika mazishi ya Baba mkwe wake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea Jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015

NO COMMENTS