Makonda awafunda waokaji keki.

0
389

table align=”center” cellpadding=”0″ cellspacing=”0″ class=”tr-caption-container” style=”margin-left: auto; margin-right: auto; text-align: center;”>

Mkuu wa
Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wa tatu kulia) na Mdau wa Keki, Mama Cynthia
Henjewele (wa pili kushoto), wakikata keki maalumu wakati wa hafla ya uzinduzi
wa Umoja wa Watengeneza keki Tanzania (TCBA), uliofanyika katika Mgahawa wa
City Lounge Posta mpya Dar es Salaam jana. Kulia ni Mshehereshaji, Makena na
Mdau wa Keki, Philip Mbonde.

 DC
Makonda akitoa hutuba ya uzinduzi.

 Mwanzilishi
wa umoja huo, Stellah Rwabutaza (kushoto), akimlisha keki mgeni rasmi DC
Makonda. Katikati ni mdau wa Keki Cynthia Henjewele.

Muakaji 
keki,  Roselins Sia Adhero (kulia), akimkabidhi keki DC Makonda.

NO COMMENTS