Madiba atoa pole

0
387
Rais Nelson Mandela
Rais Nelson Mandela

Rais wa kwanza wa Afrika Kusini huru Nelson “Madiba” Mandela ametuma salam maalum za pole kwa Asamoah Gyan ambaye alikosa penalti katika dakika ya mwisho kunako  dakika za nyongeza  baada ya mpira kugonga mwamba na kutoka nje ikiwa ndio nafasi pekee ambayo ingeweza kuandika historia mpya kwa soka la Afrika mwaka huu.

NO COMMENTS