LHRC lasikitishwa na Bunge kutengua uteuzi wa Wabunge 8 CUF

0
116

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), limesikitishwa na Bunge la Tanzania kutengua uteuzi wa Wabunge 8 CUF huku kituo hicho kimelitaka Bunge hilo kusitisha maamuzi yake dhidi ya Wabunge wa CUF.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY