Kona ya leo

0
565

Leo ni mwaka wa tatu tangu niingie kwenye klabu hii ya wajanja na kuaga ukapela kwanza namshukuru Mungu kwa kunipa mke bora na familia njema , pia naomba aendelee kutoa Baraka zake kwa familia yetu daima na tusonge mbele na safari Empress wangu pendo la moyo wangu.Mungu ndiye kiongozi wetu. Amina.
IMG_6905

NO COMMENTS