KIBAO KIPYA CHA GVAN-KWAKO

0
262

Kimetengenezwa na Bartone& Elly Da Bway anaeleza G Van “baada ya kuachia ngoma kadhaa sasa nimeamua kuja na ujio huu ngoma inaitwa kwako ikiwa katika mfumo wa piano ili kuleta ladha zaidi na tofauti katika muziki.”

NO COMMENTS