KIBAI KIPYA CHA INJILI-NO DOUBT

0
53


Jonsia ni mwimbaji wa muziki wa injili wa muda mrefu. Yeye ndiye mshindi wa kwanza na wa pekee wa mashindano ya GOSPEL STAR SEARCH ya Clouds FM ambayo yalifanyika mara moja tu.
“No doubt” ni wimbo wake wa kwanza rasmi. Wimbo huu unaonyesha imani ya mtu kwa Mungu wake isiyotazama majaribu na magumu anayoyapitia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY