Kheri ya Krismas 2010

0
405


Krismas imewadia na wakristo duniani kote na wakazi duniani kwa ujumla wanasheherekea siku ya kuzaliwa Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita huko Bethlehemu.

Katika miji mbali mbali tayari shamra shamra zinaendelea na kama kawaida sherehe hizi husherekewa kwa mambo mbalimbali.

Na kama kawaida wengine tunasherekea kwa kunywa na kula lakini tujiangalie tusifanye hivyo kupita kiasi kwani hilo linaharibu utamu wa sherehe yenyewe.

Kwa niaba ya blog hii tunawatakia kheri ya sikukuu ya Krismas na mwaka mpya 2011.

NO COMMENTS