Karrueche amkimbia Chris Brown

0
403

MPENZI wa zamani wa Chris Brown, Karrueche Tran, juzi alijikuta akimkimbia mpenzi wake huyo wa zamani baada ya kusikia amewasili kwenye pati ya mdogo wake, Kim Kardashian, Kylie Jenner.

Kylie alikuwa katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, akitimiza miaka 19.

Karrueche alikuwa wa kwanza kuwasili kabla ya Chris, lakini baada ya mashabiki wengi kupiga kelele za kushangilia ujio wake, Karrueche aliinuka kwenye kiti na kuingia kwenye gari yake kisha akaondoka eneo hilo.

Hata hivyo, baada ya waandishi kumuuliza kwanini ameondoka mrembo huyo alijibu kwamba hakuwa na muda wa kuendelea kukaa hapo.

Chanzo: Mtanzaniakarrueche-tran-200x300

NO COMMENTS