Karibuni sana wapendwa wote kwenye ibada.

0
420

Kanisa
Tunawatakia heri za siku kuu ya Noeli na kila la heri kwa mwaka mpya na kuwakaribisha kwa dhati sana kwenye ibada ya
misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
kwa nia ya kuziombea familia zetu na kuombeana
heri na fanaka za mwaka ujao.

Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216,
Phone: (410) 362-2000

Tarehe 27 December 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha
ndugu, marafiki na jamaa zako.

Kwa mawasiliano ya barua pepe na Wakatoliki DMV tumia anwani WauminiWakatoliki@gmail.com

Kwa niaba ya Baba Paroko, Padri Honest Munishi,
ni katibu wa Wakatoliki DMV Dani Steven

Wenye mitandao ya mawasiliano, pokeeni shukrani zetu za dhati kwa huduma zenu bora kwa jamii.

NO COMMENTS