Jamal Malinzi na wenzake wamefikishwa Mahakamani tena Jumatatu

0
100

Kesi inayomkabili Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF, Jamali Malinzi na wenzake imeendelea leo July 31, 2017 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusogezwa tena mbele hadi August 11, 2017 kwa sababu upelelezi haujakamilika.
Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga ameieleza Mahakama mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Wilbard Mashauri kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika, hivyo anaomba ipangiwe tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa.
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ameahirisha kesi hiyo hadi August 11, 2017.Na alichozungumza Wakili Msomi baada ya Malinzi kufikishwa Mahakamani…bofya chini

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY