JAJI WA UGANDA ASHINDA TUZO YA MWENDESHA MASHITAKA WA MWAKA

0
196

Jaji mmoja nchini Uganda wa mahakama kuu Susan Okalany alipewa zawadi ya mwendesha mashitaka wa mwaaka huko Beijing China na taasisi iitwayo (IAP) Ni chama cha kimataifa cha waendesha mashitaka duniani.

Hii ni kutokana na kzi yake katika kuwashitaki washukiwa wa mabomu ya Kampala ya mwaka 2010. Aliongoz timu ya waendesha mashitaka katika mashambulizi ambayo yaliuwa watu wapatao 76. Katika kesi hiyo uchungui haukuwa Uganda tu ulivuka nje ya mipaka Kenya Tanzania Somalia, Uingereza mpaka Marekani na kuitwa mashahidi 82.
Chanzo: Daily Monitor

NO COMMENTS