IGP Simon Sirro alivyoapishwa rasmi Ikulu DSM

0
258

Kamanda Simon Sirro aliapishwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo May 28. IGP Sirro amechukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye imeelezwa atapangiwa kazi nyingine.Je nini alichozungumza kamnda Mangu kabla ya kuondolewa bofya hao chini.

NO COMMENTS