Ibada ya misa ya Kiswahili DMV.

0
1805

MisaMnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili kuombeana mafanikio kazini na shuleni.

Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la Mtakatifu Edward (St Edward Parish)

901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Jumapili Tarehe 30 Aug 2015,
Saa nane kamili mchana (2:00 PM).

Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.

Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe anwani.

WauminiWakatoliki@gmail.com

NO COMMENTS