Ibada ya misa ya Kiswahili DMV.

0
1038

Misa 1Mnakaribishwa sana
kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
kuadhimisha sikukuu ya shukurani (Thanksgiving )

Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St,
Baltimore, MD 21216,
Phone: (410) 362-2000

Jumapili Tarehe 22 Novemba 2015.
Saa nane kamili mchana (2:00 PM).

Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha
ndugu, marafiki na jamaa zako.

Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya
barua pepe anwani.

WauminiWakatoliki@gmail.com

Kwa niaba ya Fr. Honest Munish ni katibu Dani Steven

NO COMMENTS