IBADA YA MISA KISWAHILI March 26, 2017.

0
309

Waumini Katoliki DMV. mwakaribishwa kushiriki ibada ya
Jumuiya Kiswahili itakayofanyika kanisa:
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410)
362-2000.

Jumapili Tarehe 26 March,17 Saa nane kamili mchana (2:00
PM)​.
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu,
marafiki na jamaa zako. Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano
ya barua pepe anwani. WauminiWakatoliki@gmail.com
Kwa niaba ya Fr. Honest Munishi.
Katibu Tibbs Minja.

NO COMMENTS