The Ngorongoro District Authorities, in collaboration with the UNESCO Dar es Salaam Office, will welcome the Permanent Secretary of the Ministry of Health (MoHCDGEC),...

Mtaalamu wa masomo ya Sayansi, Fadhil Leonard akiwaelekeza wanafunzi wa Shule ya Msingi namna ya kutengeneza gari linalojiendesha bila ya kuwa na dereva wakati...

Nchi yetu. Nyumba zetu. Mustakabali wetu. Hii lazima iwe kauli mbiu yetu leo - hasa katika mapambano dhidi ya kuenea kwa jangwa. Mchango wa mabadiliko ya...

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Hai,Hela Mchomvu (Kulia) akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya wilaya ya Hai kwa ajili kuongoza kikao...

Mtoto Ethan Thedore Yona akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kitabu chake kwa njia ya mtandao(App) kijulikanacho kama Ethan Man, hafla hiyo imefanyika leo...

Rais wa Marekani Donald Trump ameutaja utawala wa taifa la Korea Kaskazini kuwa wa kikatili kufuatia kifo cha mwanafunzi mmoja wa Marekani ambaye alikuwa...

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ametuhumiwa kufanya ulaghai wakati wa ulipaji kodi alipokuwa katika klabu ya Real Madrid. Maafisa wa mashtaka nchini humo wanasema...

Baadhi ya wapagazi Zaidi ya 300 wakijiandaa kwa ajili ya safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro katika Lango la Lemosho kusindikiza ugeni wa kund la...

https://youtu.be/Do2L6LkOLa4

https://youtu.be/uzJQmKltBDU

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Gift Shoko akizungumza na baadhi ya wateja wakubwa wa benki hiyo...

Jana juni 16,2017 mataifa mbalimbali barani Afrika yaliungana pamoja kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Mkoani Mwanza, maadhimisho hayo yalifanyika uwanja wa Furahisha kwa...