HILI LA ZARI NA MOBETO LAMUIBUA MAKONDA

0
130

Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam, Paul Makonda ameshindwa kujizuia kufuatia kinachoendelea mitandaoni kuhusu warembo wawili, Zarinah Hassan maarufu ‘Zari The Boss Lady’ na Hamisa Mobeto na kujikuta akiandika ujumbe mzito kusmihi Zari.
Soma alichokiandika Makonda.


Chanzo:GPL

NO COMMENTS