Haruna Niyonzima, Okwi na Haji Manara baada ya ushindi vs Yanga

0
231


Uwanja wa Taifa Dar es Salaam game ya ngao ya hisani ya Simba vs Yanga imechezwa na Simba kufanikiwa kupata ushindi kwa penati 5-4, Yanga wao walikosa penati mbili zilizopigwa na Juma Mahadhi na Kelvini Yondani wakati penati ya Simba ilikoswa na Mohammed Hussein Tshabalala.
Baada ya ushindi Haruna Niyonzima aliyejiunga na Simba akitokea Yanga na kutajwa kuwa ndio mchezaji ghali kwa sasa katika kikosi cha Simba amecheza game yake ya kwanza dhidi ya Yanga baada ya kuhama timu hiyo, presha kwake ilikuwaje”
“Kucheza kwa mara ya kwanza dhidi ya Yanga presha ilikuwa kubwa unajua mimi ni mchezaji na hii ni kazi yangu hivyo nilimuomba Mungu aweze kunitoa hofu kwa sababu kitu kikubwa nilichokuwa nacho ni hofu, Yanga ni kama ndugu zangu nimecheza nao kwa muda mrefu”>>>
Source:Millard ayo.com

NO COMMENTS