HARAMBE YA MZEE EDDIS MGAWE DMV JUMATANO.

0
525
 Mzee Eddis Mgawe Enzi ya uhai wake


Familia ya Mgawe na Malinda inawataarifu harambee ya mpendwa Mzee Eddis Mgawe ili kusaidia na hatimae kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani kwa mazishi, gharama za kusafirisha mwili ni $13,955. Harambee itafanyika siku ya Jumatano April 1, 2015 harambee itafanyika 1702 Pinecone Ct, Bowie, MD 20721 kuanzia saa 11:30 jioni (5:30 pm)


Matarajio ya familia na kamati ni kusafirisha mwili siku ya Ijumaa yote inategemea msaada michango yetu na kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atawezesha hili  na ndugu, jamaa na marafiki wakiwemo Watanzania wenzetu nje ya DMV tunaweza fikisha rambi rambi zetu kupitia Wells fargo acct # 8188051794 Routing # 055003201 jina ni Mary & Bernard Mgawe


Kwa hapa DMV msiba upo 
1702 Pinecone Ct, 
Bowie, MD 20721


Kwa maelezo zaidi na maelekezo wasiliana na 
Dr. Seche Malecela
Iddy Sandaly 301 613 5165
Hamza Mwamoyo 301 922 0618
Dickson Mkama (DMK) 301 661 6207
Loveness Mamuya 240 423 0437
Tino Malinda 240 565 7133
Bernard Mgawe 918 809 3134
Tuma Kaisi 301 433 3411
Sunday Shomari 614 622 1273
Raymond Abraham 301 793 4467
Ismail Bibagamba 301 272 4345
Dj Luke Joe 301 661 6696

UKIPATA UJUMBE HUU TAFADHALI MWAMBIE NA MWENZAKO


Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe

NO COMMENTS