HAFLA YA UZINDUZI WA ARISE AND SHINE FOUNDATION LARGO MD.

0
631

Mary Mgawe akifurahia wimbo wa mdau mwenzake Faith Hajji wakati kuzinduliwa kwa Arise and Shine Foundation na uzinduzi wa albam Heal Africa ya Faith Hajji hafla iliyofanyika katika hotel Largo huko Largo Md Jumamosi Aprili 29,2017.
Mary na Fay wakielezea kuhusu Foundation yao.
Wadau Fay Isingo na baba yake Dr.Msina waliohudhuria hafla hiyo.
Fay Hajji akicheza na watoto katika uzinduzi wa albam yake-Healing.

Picha zaidi ungana nasi tena baadaye.

NO COMMENTS