FILAM YA BLACK PANTHER YASUBIRIWA KWA HAMU

0
52

Filam ya Black Panther hapa Marekani inasubiriwa kwa hamu na inatarajiwa kutoka Feb 16 mwaka huu ikiwa na wasanii maarufu wenye asili ya Afrika akiwamo Lupita Nyong’o na Daniel Kaluuya hii ikiwa ni filamu kubwa ya kwanza ya kampuni ya Marvel Studios ikiwa na waigizaji waandamizi weusi.
Filam hii ina maana gani basi ina maana kubwa kwa jamii ya watu weusi Marekani ikwia na maana inaonyesha mtu mwenye nguvu mweusi Super hero” na mkazi mmoja wa New York Frederick Joseph anasema kutolewa kwa filam hii ni nafasi kwa vijana wa Harlem weusi kuona kuna nafasi mbele katika maisha yao hasa wale wanaoishi katika familia zenye kipato cha chini.
Na wakati huo huo Richard Loverd mkurugenzi wa taasisi ya sayansi anasema filam hii itaongeza matamanio vijana weusi kujua zaidi kuhusu Afrika na sayansi na teknolojia kwa ujumla.
Source:Hollywood reporter.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY