EMINEM ATAMBA KATIKA UTEUZI WA GRAMMY

0
454

Mkongwe Eminem
Mwanamuziki mkongwe wa rap Eminem ameweka historia ya aina yake katika tuzo za Grammy baada ya nyimbo zake 10 kuteuliwa kuwemo kwenye kinyan’ganyiro cha tuzo hizo. nyimbo hizo ni pamoja na :
Rekodi ya mwaka- I Love the Way you Lie.
Albam ya Mwaka -Recovery
Wimbo wa Mwaka-Love the way you Lie.
Wimbo bora wa rap bora (wa mwimbaji mmoja)-Am not Afraid & Love the way you Lie.
Wimbo bora wa rap wa ushirikiano-Love the way you Lie.
Wimbo uliotengenezwa vizuri wa rap-Am not Afraid
Rap Albam bora-Recovery
Video ya muziki bora-Love the way you Lie.
Wimbo bora wa Pop wa ushirikiano-Airlines Part II

NO COMMENTS