Dr. Slaa aeleza kwanini hawamtambui Rais Kikwete

0
490


Mgombea urais wa chama cha Chadema Dr.Wilbroad Slaa alizungumza na Sauti ya Amerika na kueleza msimamo wa chama chake kutomtambua Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete alifanya mahijiano na Esther Githui Ewart wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika VOA.

NO COMMENTS