Dr.Abdallah Kigoda afariki dunia.

0
1241

kigoda-oct28-2013Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania na mbunge wa Jimbo la Handeni Tanga Mhe.Abdalah Kigoda amefariki dunia jana Oktoba 12, 2015, huko nchini India alikokuwa amekwenda kwa matibabu.

Ofisi ya bunge la Tanzania imethibitisha habari za kifo hicho jana taarifa zaidi kuhusu taratibu za kusafirisha mwili wa marehenmu na mipango yote ya mazishi zitatolewa na serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na familia ya marehemu na ofisi ya bunge nchini humo.

Dr.Kigoda alizaliwa mwaka 1953 na kupata shahada yake ya kwanaza katika chuo kikuu cha Daresalaam , shahda ya uzamili katika chuo kikuu cha Vanderbilt hapa Marekani na Phd katika chuo kikuu cha Missouri katika masuala ya uchumi.

NO COMMENTS