Dj Bon Love alivyokonga nyoyo za mashabiki wa burudani katika usiku wa Heart & Soul.

0
567
span style=”font-family: Georgia,"Times New Roman",serif;”>Mkali wa magoma nchini Tanzania na nje, Dj Bon Love akifanya yake katika Usiku wa Heart & Soul uliofanyika usiku wa kuamkia Jumamosi kwenye kiota kinachotamba zaidi mjini Dar cha Raphsody, ndani ya Jengo la Viva Towers katikati ya Jiji hilo. Dj Bon Love na maDJ wengine wakali hukutana pamoja kwenye kiota hicho ili kukonga nyoyo za wapenda Burudani kutoka maeneo mbalimbali.Usiku huo uliwezeswa kwa Udhanimi Mkubwa wa Kilaji cha Heineken.
Baadhi ya Wadua wa Burudani wakiwepo DJ. Venture na Mwanalibeneke Haki Ngowi wakiwakilisha katika Usiku wa Heart & Soul.
 
Mmoja wa maDJ wanaopiga katika Usiku wa Heart & Soul akifanya mambo yake.
Furaha pindi wadau wanapokutana.
 Mdau Othman Michuzi (kulia) na marafiki wengine nao hawakutaka kukutukipwa ya Usiku wa Heart & Soul ndani ya kiota pendwa cha Raphsody, Jengo la Viva Towers katikati ya Jiji la Dar.

NO COMMENTS