DIAMOND PLATINUMZ ALIVYOFANYA SURPRISE KWA PROFESA J

0
265


Rapper na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ July 8, 2017 alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Grace ambaye walidumu katika uchumba kwa miaka 13 ambapo watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasanii walialikwa.

Moja ya mambo yaliyofurahisha katika tukio hilo ni surprise ya mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye alitumbuiza!!

NO COMMENTS