Diamond na mama yake walivyowasili kwenye msiba wa mama yake Zari

0
472

Msanii Diamond Platnumz pamoja na mama yake mzazi Bi Sandra wamefanikiwa kuhudhuria katika msiba wa mama yake Zari The Bosslady nchini Uganda.
Bosi huyo wa WCB amewasili jana katika msiba huo ambao kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa Zari kupitia mtandao wa Instagram, marehemu alifariki asubuhi ya siku ya jana (Alhamisi). Babu Tale naye ameambatana na Diamond katika msiba huo.
Source:Bongo5

NO COMMENTS