Deo Filikunjombe na wengine wawili waagwa Lugalo.

0
982

Deo-FilikunjombeDeo Filikunjombe enzi za uhai wake.
filikunjombe-6Majeneza yenye miili ya marehemu yakiandaliwa kwa kuagwa.
filikunjombe-10Waombolezaji wakiwa katika msitari kuelekea eneo yalipowekwa majeneza hayo kwa ajili ya kuaga.filikunjombe-5Nyumbani kwa Deo Filikunjombe, Mtoni-Kijichi, Dar es Salaam.
filikunjombe-11Mke wa marehemu Sarah Filikunjombe akilia kwa uchungu.

NO COMMENTS