Davido aonyesha mjengo wake mpya

0
149

Msanii wa muziki Nigeria, Davido anazidi kuumiza vichwa mashabiki kwa kuachia nyimbo kali kila kukicha ila sasa ameamua kuonyesha makazi yake mapya yaliopo nchini Marekani.
Kupitia wa Instagram Davido aliamua kushare picha ya mjengo wake huo, uliopo mjini Atlanta-Marekani, ambao anatarajia kuhamia siku yoyote kuanzia sasa.

Kwa sasa msanii huyo anaendelea na ziara ya ‘The 30 BILLION WORLD TOUR’ inayohushisha baadhi ya nchi za bara la Afrika, Ulaya na Marekani.

Na Bongo5.com

NO COMMENTS