DAVID KANUMBA AFUNGA NDOA ATLANTA GEORGIA.

0
1299

IMG_6439David Kanumba na wapambe wake akimsubiri mkewe kanisani wakati wa ibada ya ndoa yake iliyofungwa Machi 28, 2015 huko katika jimbo la Atlanta Georgia, Marekani.
IMG_6449Bi.Harusi Nadege akiingia kanisani akisindikizwa na baba yake.
IMG_6429Baba mzazi wa Kanumba na mdogo wa Kanumba wakiingia kanisani.
IMG_6445Wapa,mbe wa Bi.harusi Nadege.
IMG_6457Wazazi na familia ya Bi.harusi. kanisani.
IMG_6477Bw.harusi David Kanumba akimvisha mkewe Bi.Nadege pete ya ndoa.
IMG_6480Nadege akimvisha mumewe Kanumba pete.
IMG_6493David Kanumba na mkewe baada ya kufunga ndoa

IMG_6508Wapambe.
IMG_6517Bw.harusi na akiwa na rafiki yake wa siku nyingi Frank Kambira a.k.a Prezidaa bada ya kufunga ndoa kanisani.
Picha zaidi ungana nasi baadae.

NO COMMENTS